Leo ndiyo Leo kwenye usiku wa upangaji wa droo ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Baada ya juzi usiku kushuhudiwa miamba ...
Leo, Februari 21, 2025, umetimia mwezi mmoja tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kifanye uchaguzi mkuu wenye ...
Wakati ‘Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (Neto)’ ukidai kuna vitendo vya upendeleo na rushwa katika usaili wa nafasi za ajira ...
Wakati ‘Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (Neto)’ ukidai kuna vitendo vya upendeleo na rushwa katika usaili wa nafasi za ajira ...
Baada ya kusambaa taarifa zikidai kuwa Abiud Onesmo aliyekuwa mshiriki wa mashindano ya kusaka vipaji msimu wa 15 (BSS) , alijing'oa kwenye mashindano hayo kutokana na kutamkiwa maneno yasiyofaa.
Alianza aliyekuwa kocha mkuu, Sead Ramovic, kisha akafuata kocha wa makipa Alaa Meskini, kiasi cha kuanza kuzua maswali, Yanga kunani?
Kipa wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’ ameendelea kuthibitisha thamani yake tangu aliposajiliwa na Wekundu wa Msimbazi hao, ...
Yanga inapaa leo kwenda Kigoma ikiwafuata wanajeshi wa Mashujaa, lakini kocha wa timu hiyo, Hamdi Miloud amewajaza upepo ...
Leo, Februari 21, 2025, umetimia mwezi mmoja tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kifanye uchaguzi mkuu wenye ...
Serikali imeanzisha kampeni maalumu kwa ajili ya kudhibiti vitendo vya utapeli na ulaghai mitandaoni ambavyo husabanisha hasara kwa watu binafsi na Taifa kwa ujumla na kurudisha nyuma ...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni (DC) mkoani Tanga, Albert Msando ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na watendaji wa kata kuwatafuta wanafunzi 356 wa kidato cha kwanza wa shule za ...
Wenyeviti 142 wa Serikali ya mitaa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam wameingia makubaliano na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) ikiwamo sharti uhakika wa maji kwa saa 24 ...